Ainishwa kwa:

TOLEO LA MWISHO LA ORODHA YENYE MAJINA YA NYONGEZA

Yafuatayo ni majina ya Washiriki ambao wameingia kwenye kinyang'anyiro cha mwaka 2017 cha shindano la ERAHIM HUSSEIN. Orodha hii imefanyiwa marekebisho kwa kuongeza majina manne mwishoni mwa orodha kuu. Na hili ndilo toleo la mwisho kabisa.

Ikumbukwe pia kwamba, kuna watu ambao wameshaondolewa mpaka hatua hii. Kuna waliotuma Riwaya na waliotuma mashairi zaidi ya mara moja lakini pia kuna waliotuma mashairi hewa. Yaani alidhani ame-Attach kumbe alisahau akatuma meseji hewa na wale waliotuma mashairi baada ya shindano kufungwa.

 1. EH/017/JO JUMA M. OMARY
 2. EH/017/MH MACHANO HAJI
 3. EH/017/MS-5 MWAKA K. SHADHIL
 4. EH/017/FS FILIEDA SANGA
 5. EH/017/MM-3 MAKAME M. MAKAME
 6. EH/017/FK-3 FATMA O. KHAMIS
 7. EH/017/FH FIDELIS C. HOKOROKO
 8. EH/017/MS-6 ISSA M. SALIM
 9. EH/017/SS-4 SAADA B. SALIM
 10. EH/017/AA-3 ABDALLAH A.ABDALLAHJOKA
 11. EH/017/DM-2 DOTTO E. MVUNYENGE
 12. EH/017/MM-4 MARK W. MWAMBALA
 13. EH/017/MK MSTAPHA KIWAMBA
 14. EH//017/HM-2 HALIMA A. MNOLA
 15. EH/017/FK-2 FRANK KHAILA
 16. EH/017/HS-2 HAWA M. SADIQ
 17. EH/017/RM-2 RAMADHAN S. MNDEME
 18. EH/017/JJ-2 JECHA V. JECHA
 19. EH/017/HA-2 HAMIDA A. ALI
 20. EH/017/HS HAITHAM A. SAID
 21. EH/017/JH JOHNBOSCO HOKORORO
 22. EH/017/MR-2 MAKACHA R. RAMADHANI
 23. EH/017/AK-2 ABDALLAH MUSSA KUNDAVI
 24. EH/KM-A KUNDURA MUNISI
 25. EH/017/MM-B MOHAMED MKONDIA
 26. EH/017/JM-C Juma N. S. MAGAMBILWA
 27. EH/017/JC-D JANETH S. CONBADY

Ahsanteni kwa kushiriki.

Limetolewa na :

Tunzoushairi Tanzania