Ainishwa kwa:

TOLEO LA MWISHO LA ORODHA YENYE MAJINA YA NYONGEZA

Yafuatayo ni majina ya Washiriki ambao wameingia kwenye kinyang'anyiro cha mwaka 2017 cha shindano la ERAHIM HUSSEIN. Orodha hii imefanyiwa marekebisho kwa kuongeza majina manne mwishoni mwa orodha kuu. Na hili ndilo toleo la mwisho kabisa.

Ikumbukwe pia kwamba, kuna watu ambao wameshaondolewa mpaka hatua hii. Kuna waliotuma Riwaya na waliotuma mashairi zaidi ya mara moja lakini pia kuna waliotuma mashairi hewa. Yaani alidhani ame-Attach kumbe alisahau akatuma meseji hewa na wale waliotuma mashairi baada ya shindano kufungwa.

 1. EH/017/MM-1 MAGDALENA MALYA
 2. EH/017/GM-1 GEORGE CLEOPA MAPUNJO
 3. EH/017/HA-1 HAJI AMOUR ABDALLA
 4. EH/017/BM-1 BULIMA MAGAMBO
 5. EH/017/HM-1 HASSANI B. MAGOMA
 6. EH/017/HK-3 HARRY AMON KAPELE
 7. EH/017/ZK ZAKARIA KASUBI
 8. EH//017/HJ-2 HAMISI ISSA JUMBE
 9. EH/017/AM-3 ATHUMANI WAZIRI MKALAGILE
 10. EH/017/SN-1 STEPHANO JOHN NG'OGA
 11. EH/017/LM LEAH FANUELY MOLELI
 12. EH/017/JM-1 JOSIA MBAGA
 13. EH/017/HH HARUOB NASSOR HAFIDH
 14. EH/017/DM-1 DAUDI ATHANAS MAEMBE
 15. EH/017/AS-3 ABDALLAH AHMAD SEIF
 16. EH/017/SO-1 SHEKHE A. OMARI
 17. EH/017/MA MAGRETH AKILMALI
 18. EH/017/IR IBRAHIM SULTAN RUBEIYYAH
 19. EH/017/JJ-1 JUMA MUHUNZI JUMA
 20. EH/017/MS-2 MUSSA SHEKE
 21. EH/017/BK-2 BARAKA MICHAEL KIBEBETI
 22. EH/017/IM-1 IDD M. MWIMBE
 23. EH/017/HL-2 HASSAN LIGILE
 24. EH/017/MM-2 MOTONGORI MOHONI
 25. EH/017/RM-1 RAJABU R. MKALI
 26. EH/017/JN JETELINA NYAGAWA
 27. EH/017/FM FULGENCE FULMENCE MAKAYULA
 28. EH/017/IK ISSA AMIRI KILIMO
 29. EH/017/SM-3 SAID SHAABAN MSSAPHIRY
 30. EH/017/MS-1 MWAJUMA SELEMANI

Ahsanteni kwa kushiriki.

Limetolewa na :

Tunzoushairi Tanzania