Ainishwa kwa:

TOLEO LA MWISHO LA ORODHA YENYE MAJINA YA NYONGEZA

Yafuatayo ni matokeo ya kinyang'anyiro cha mwaka 2017 cha shindano la ERAHIM HUSSEIN. Orodha hii imetokana na toleo la mwisho la washiriki tulilo litona mwaka jana.


KUNDI A – WASHINDI 3 WA KWANZA

MSHIRIKI

KAZI 

MAHALI ANAPOISHI

SHAIRI


I. Nusura Msafiri Khaji

Mwanafunzi

Tanga

Mwana wa Tumboni


II. Eric F. Ndumbaro

Mwanafunzi

Dar es Salaam

Nchi ya Ahadi 


III. Hamisi A.H. Kisamvu

Dereva

Dar Es Salaam

Kimbiji KUNDI B: WATAKAOTUNUKIWA VYETI NA KUTAMBULIWAMSHIRIKI

KAZI 

MAHALI ANAPOISHI

SHAIRI


Hatibu Omar Jongo

Mwalimu

Dar Es Salaam

Barizi


Dotto R. Chamchua

Mjasiriamali

Morogoro

Mjomba nataka kusoma


Idd M. Mwimbe

Mjasiriamali

Bagamoyo

Alipo sikutarajia


Zakaria Kasubi

Mwanafunzi

Geita

Nani wa kunisikia


Ali Mwalim Rashid

Mwalimu

Zanzibar

Mnara


Mohamed Mkongondia

Mjasiriamali

Dar Es Salaam

Jinamizi


William Benard Mrope

Mwanafunzi 

Dar Es Salaam

Moto


Haji Amour Abdallah

Mwalimu

Arusha

Abebwaye hujikaza


Salama Omar Othuman

Mwalimu 

Zanzibar 

Chozi la Neema


Josia Mbaga

Mwanafunzi

Arusha

Kinyago


Mwanacha M. Omar (Binti Bogoyo)

Mwanafunzi

Zanzibar

Si hoja udogo wangu


Fidelis C. Hokororo

Mwalimu

Mtwara

Mimi ni nani


Laila A. Omar

Mwanafunzi

Zanzibar

Ndege wa kufugwa


Motongori Mohoni

Mwanafunzi

Morogoro

Kanga


Khadija Said Suleiman

Afisa Utamaduni

Zanzibar

Dhoruba


Nassoro M. Mohamed

Mstaafu Bandari

Dar Es Salaam

Kweli


Amina S. Abdalla

-

Zanzibar

Mti wa ajabu
Ahsanteni kwa kushiriki.

Limetolewa na :

Tunzoushairi Tanzania