Sort By:

Ombi la ridhaa kuchapisha Shairi

Maombi kwa washiriki wa shindano la ushairi, kuchapisha mashairi waliyo wakilisha kwenye shindano la Ebrahim Hussein.

Ombi la ridhaa kuchapisha Shairi msimu wa pili

Maombi kwa washiriki wa shindano la ushairi, kuchapisha mashairi waliyo wakilisha kwenye shindano la Ebrahim Hussein msimu wa pili.

TANGAZO LA KUFUNGA SHINDANO

Natangaza kuwa Shindano limefungwa rasmi. Ahsanteni nyote mliohusika kwa namna moja au nyingine kuhamasisha kukumbusha, kushawishi, kulazimisha au namna nyingine yoyote iliyotumika kuwafanya watu washiriki shindano kwa msimu huu. Ahsanten sana.

Shukrani ziwaendee

 • Filieda Sanga
 • Hamisi Kissamvu
 • Idd Mwimbe
 • Salama Omar
 • Ndee Swalehe
 • Baraka Katutu
 • Nottorious Racky Kadege
 • Manny Alkado Kasi
 • Atanas Modest
 • Severa James
 • Mwanacha Mohamed
 • Team JUWACHIZA-Zanzibar
 • Dotto Rangimoto Chamchua

Na wengine wengi wengi. Ahsanteni sana. Mwisho wa hatua hii ndio mwanzo wa hatua inayofuata.

Limetolewa na:- Tunzoushairi Tanzania.